
Benjamin Mkapa yadhamiria kufuta sifuri matokeo kidato cha nne, sita
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa inajivunia kuwa na maendeleo mazuri kitaaluma kwa mitihani ya kidato cha nne na sita huku ikidhamiria kufuta daraja sifuri. Shule hiyo iliyoanzishwa mwaka 1998 ina wanafunzi 1,669 wakiwemo 148 wenye ulemavu wa viungo, ualbino, wasioona na viziwi. Akizungumza wakati wa mahafali ya 24 ya kidato…