
PROF. MKENDA AZIPONGEZA SHULE BINAFSI KUSITISHA MASOMO KUTOKANA NA HALI YA HEWA MBAYA
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imewataka wazazi na walezi pindi wanapoona mvua kubwa zinanyesha kutowaruhusu watoto kwenda shule ili kuepuka athari ambazo zinaweza kujitokeza kutoka na mafuriko na kuharibika kwa miundombinu ya barabara katika maeneo mbalimbali nchini. Wito huo umetolewa leo Aprili 24,2024 jijini Dar es salaam na…