Ugawaji taulo za kike watajwa kutokomeza utoro shuleni

BAADHI ya wanafunzi na walimu wa shule za sekondari mkoani Geita wamesema zoezi la ugawaji wa taulo za kike kwa ajili ya kuwasitiri wanafunzi wa kike kipindi cha hedhi, limechangia kupunguza utoro wa wanafunzi hao katika masomo mbalimbali wanapokuwa kwenye siku za hedhi. Wakizungumza kwa nyakati tofauti hivi karibuni, wanafunzi na walimu hao wameishukuru Kampuni…

Read More

Yanga SC waingia Mkataba na ATCL, watanufaika hivi

Mabingwa wa kihistoria wa Tanzania Yanga SC leo wameingia mkataba wa miaka miwili wa ushirika na shirika la ndege la Air Tanzania(ATCL). Katika ushirika huo Klabu ya Yanga italitangaza shirika hilo na watapata punguzo la bei kwa safari zao zote za ndege watakazofanya na shirika hilo.Mkataba huo wa Yanga na ATCL umesainiwa na Rais wao…

Read More

Ripoti: Ukatili dhidi ya wanaume waongezeka

Dar es Salaam. Katika kipindi ambacho dunia inapambana kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto, matukio hayo yanachipukia na kuota mizizi dhidi ya wanaume. Kwa mujibu wa Ripoti ya Haki za Binadamu ya mwaka 2023, vitendo vya ukatili kwa wanaume vimeongezeka na kufikia asilimia 10, kutoka asilimia sita ya mwaka 2022. Ripoti…

Read More