
SERIKALI YAIPONGEA SUA KWA KUJA NA MBUNI ZA KULINDA UKANDA WA MAGHARIBI MWA BAHARI YA HINDI.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepongeza kazi nzuri ya Utafiti iliyofanywa na SUA kwa kushirikiana na NEMC na kupelekea matokeo yake kusambazwa kwenye nchi kumi zilizo ukanda wa magharibi mwa Bahari ya Hindi. Pongezi hizo zimetolewa kwa niaba yake na Mkuu wa…