DUNIA imejaa warembo kibao wanaotwanga makonde kama Natasha Jonas, Amanda Serrano au yule Claresaa Shield na ukiwakuta nje ya ulingo katika mitoko yao mingine, katu
Year: 2024

Waziri wa Madini, Mhe.Anthony Mavunde,akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 24,2024 jijini Dodoma. …………… Waziri wa Madini, Mhe.Anthony Mavunde amebainisha kwamba Serikali kupitia Tume

Maelfu ya raia wa Bangladesh walikusanyika kuombea mvua siku ya Jumatano katikati ya wimbi kubwa la joto lililosababisha mamlaka kufunga shule kote nchini. Utafiti wa

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametaja vipaumbele saba vya bajeti ya wizara yake ambavyo ni pamoja na kuendelea kutekeleza

Dar es Salaam. Wakati Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila ikitarajia kufanya upasuaji wa kurekebisha maumbile Mei 2024, imeelezwa wanawake wenye uhitaji wa huduma hiyo ni wengi,

Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze ,Ridhiwani Kikwete amewataka wanafunzi na vijana kuacha matumizi mabaya ya

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeanza kutoa huduma ya kuwafuata wagonjwa manyumbani mwao na kuwapa tiba ili kupunguza vifo vya ghafla pamoja na kuokoa muda

Mauricio Pochettino alikiri Chelsea “ilikata tamaa” katika kipigo cha mabao 5-0 Jumanne dhidi ya Arsenal, lakini alitaka kuwatetea wachezaji wake kwa kusisitiza kuwa baadhi ya

MFANYABIASHARA Marik Ngutti wa Machimbo ya Matabi wilayani Chato Mkoa wa Geita ameeleza namna ambavyo ufuatiliaji wake wa elimu ya mlipa kodi ilivyomnasua kutoka kwenye

ILIKUWA Juni 16, 1983 katika ukumbi wa Madison Square Garden jijini New York, Marekani, Billy Collins Jr akiwa na baba yake aliyekuwa bondia wa zamani,