
Mradi wa mabadiliko ya mifumo ya lishe bora kitaifa wafunguliwa
Shirika la Global Alliance for Improved Nutrition (GAIN) kwa kushirikiana na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limezindua programu ya miaka mitano ya ‘The Nourishing Food Pathway Programme (NFP)’ yenye lengo la kuharakisha mabadiliko ya mifumo ya kitaifa ya chakula. Mpango huo wa miaka mitano wenye thamani ya euro milioni 50 pia utanufaisha nchi nyingine tano…