
Simba yafuata mrithi wa Saido Asec
BAADA ya kipigo cha mabao 2-1, wekundu wa Msimbazi Simba wameamua kuingia sokoni kusaka mashine mpya na sasa iko mezani na kiungo mshambuliaji wa ASEC Mimosas Pokou Serge. Mwanaspoti linajua Simba inataka huduma ya kiungo huyo kiraka ili aje kufanya mambo mawili kutumika kama winga wa kushoto, pia kama kiungo mshambuliaji nyuma ya mshambuliaji wa…