
PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 24,2024
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 24,2024 About the author
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 24,2024 About the author
Dar es Salaam. Kauli ya Mbunge wa Mlimba (CCM), Godwin Kunambi ya kuhoji sababu za wakurugenzi wa halmashauri kuendelea kuteuliwa na Rais, imewaibua wadau wakisema nafasi hizo ziombwe kulingana na sifa zitakazowekwa. Suala la uteuzi wa wakurugenzi wa halmashauri, limekuwa likilalamikiwa na wadau na hasa baadhi ya vyama vya upinzani, vikidai kuwa nafasi hizo zinatumika…
ILIKUWA Juni 16, 1983 katika ukumbi wa Madison Square Garden jijini New York, Marekani, Billy Collins Jr akiwa na baba yake aliyekuwa bondia wa zamani, Collins Sr walikuwa ukumbini tayari kwa ajili ya pambano la utangulizi kabla ya miamba Roberto Duran na Davey Moore kuzichapa. New Content Item (1) Wakati anaingia katika pambano hilo Collis…
In celebration of International Women’s Day, CFAO Mobility Tanzania and Stanbic Biashara Incubator collaboratively hosted an impactful event aimed at empowering female entrepreneurs and business owners. The event hosted at Stanbic Biashara Incubator offices in Dar es Salaam witnessed a gathering of accomplished women from diverse sectors who generously shared their success stories and…
WATUHUMIWA watatu wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kibaha Mkoani Pwani jana tarehe 22 Aprili, 2024 wakikabiliwa na mashtaka ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Methemphetamine Kilogramu 424.84 pamoja na Heroin Hydrochloride gramu 158.24 kinyume cha kifungu cha 15 (1) (a) na cha (3) (i) cha Sheria ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za…
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge (wa pili kulia) akipokea msaada wa kibinadamu kwa ajili ya wahanga wa mafuriko ya Rufiji na Kibiti wenye thamani ya takribani shilingi 250m uliotolewa na Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation. Msaada huo ulikabidhiwa na Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Vyombo vya Habari wa kampuni ya Vodacom Tanzania…
KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited kwa kushirikiana na kampuni mbalimbali imeahidi kuendelea kusimamia mipango ya kuimarisha na kusimamia afya za wafanyakazi dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hayo yamebinishwa katika kongamano la kwanza la mashirika na kampuni hizo (CWC) lililofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Kongamano hilo liliandaliwa na taasisi…
Mwamko mdogo wa Watanzania kuhusu bima ya afya ni mojawapo ya changamoto katika kutoa huduma bora za afya kwa wote kutokana na idadi ndogo ya Watanzania wenye bima. Takwimu za Wizara ya Afya (2022) zinaonesha kuwa asilimia 15 tu ya Watanzania, sawa na watu milioni 9.1, walikuwa na bima ya afya mwishoni mwa mwaka 2021,…
Kampuni ya Mineral Access System Limited (MAST) inayoiwakilishwa kampuni ya Akmenite Limited Lithuania, inatarajia kutumia dola za Marekani milioni 15 (Sh 38.9 bilioni) kujenga viwanda vitatu vya uchenjuaji wa madini ya metali katika mikoa ya Ruvuma, Dodoma na Lindi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Arunas Sermuksnis Hayo yamebainishwa leo Jumanne na Mkurugenzi wa Kampuni ya…
Na Esther Mnyika Mtanzania Digital Taasisi ya Hakielimu nchini imetoa rai kwa Serikali kutenga bajeti ya kutosha 2024/2025 katika sekta ya elimu ili kuwezesha kushabihisha bajeti hiyo na malengo ya Dira ya Taifa ya maendeleo katika elimu lakini pia kuanza kwa utekelezaji wa mitaala na sera mpya ya elimu ya mwaka 2023. Akizungumza leo Aprili…