
Kombe la Muungano lilifia hapa
KLABU ya Yanga ya Dar Es Salaam imegoma kushiriki mashindano mapya ya Kombe la Muungano, yatakayofanyika Aprili 23 hadi 27 mjini Zanzibar. Rais wa Shirikisho la soka Zanzibar (ZFF), Suleiman Mahmoud amesema kwamba timu za Simba na Azam FC ndizo pekee kati ya zilizopewa mwaliko kutoka Bara zilizothibitisha kushiriki. Mahmoud ameeleza kuwa walipokea barua ya…