
Tanzania kinara idadi ya nyati na simba Afrika
Arusha. Tanzania imefanikiwa kuwa kinara wa idadi kubwa ya wanyamapori aina ya nyati na simba barani Afrika. Kwa upande wa nyati, Afrika nzima wako 401,000 na kwa Tanzania pekee, wako 225,000 ikifuatiwa na Afrika Kusini (46, 000), Msumbiji (45, 000), Kenya (42, 000) na Zambia (41, 000). Tanzania pia inaongoza kwa kuwa na simba wengi,…