Siri ya Taliss ubingwa wa kuogelea hii hapa

Nahodha wa Taliss Swim Club, Delbert Ipilinga amefichua siri ya kuibuka washindi wa jumla kwenye michuano ya 16 ya Klabu Bingwa Tanzania (TNCC) kuwa ni bidii na uthubutu. Klabu hiyo ilikusanya pointi 385 katika michuano ya siku mbili iliyofanyika katika Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (IST) jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. “Nashukuru tumetwaa…

Read More

Mikoa hii ijipange kwa mvua kuanzia leo

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la mvua kubwa na ngurumo kwa mikoa 26 ya Tanzania Bara na visiwa vya Unguja na Pemba kuanzia leo Aprili 22, 2024. Mikoa ambayo inapata mvua leo Aprili 22, 2024 kwa mujibu wa TMA ni Dar es Salaam, Tanga, Pwani, Morogoro, Lindi, Mtwara,…

Read More

DK NCHIMBI: TUTAWAENZI WAASISI KWA KUENDELEZA UTUMISHI KWA WATU

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amezuru kaburi la Hayati Mzee Constantine Osward Millinga, aliyekuwa mmoja wa waasisi na wapigania uhuru kuanzia wakati wa Tanganyika African Association (TAA), Tanganyika African National Union (TANU), hadi CCM, katika makaburi ya familia yaliyopo, Mtaa wa Mhekela, Mbinga Mjini, mkoani Ruvuma, leo Jumatatu,…

Read More

Benki ya NBC Yazindua Kampeni ya “Shinda Mechi Zako Kinamna Yako” Kuchochea Ukuaji wa Biashara

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni mpya ya akiba inayofahamika kama “Shinda Mechi Zako Kinamna Yako” mahususi kwa wateja wake wa aina mbalimbali wakiwemo wateja binafsi, waajiriwa, wamiliki wa biashara ndogo na wanafunzi.  Ujio wa kampeni hiyo inayoambatana na zawadi mbalimbali ikiwemo zawadi za gari mbili aina ya BMW x1, unalenga kuimarisha ustawi…

Read More