
TANZANIA NA IVORY COAST ZAINGIA RASMI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO KWENYE SEKTA YA MICHEZO
Na, Brown Jonas – WUSM, Dar es Salaam. WIZARA ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeingia makubaliano ya ushirikiano na Wizara ya Michezo ya Ivory coast katika masuala mbalimbali ya uendelezaji wa Sekta ya michezo. Makubaliano hayo yameingiwa leo Aprili 21, 2024 Jijini Dar Es Salaam ambapo Naibu Waziri Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa upande…