
CBE kuwasaidia wajasiriamali kufikia ndoto zao
Na Mwandishi Wetu CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kinakusudia kuanzisha mafunzo ya uanagenzi kwa wanafunzi wanaosoma shahada ya masuala ya benki, fedha, metrolojia na viwango, ambayo yatawawezesha kusoma huku wakifanyakazi. Akizungumza katika siku ya CBE taaluma na programu atamizi jijini Dar es Salaam Mkuu wa chuo hicho, Profesa Edda Lwoga, amesema lengo ni kuwawezesha…