Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Year: 2024

  • Home
  • 2024
  • Page 23
Habari

Wawili wadakwa kwa kuingia vipodozi vyenye sumu

December 28, 2024 Admin

  JESHI la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia watu wawili kwa tuhuma ya kusafirisha vipodozi vyenye viambata vya sumu aina mbalimbali boksi 201. Anaripoti Mwandishi

Read More
Michezo

Yanga Omari ‘rais wa Tanga’ afia kifungoni

December 28, 2024 Admin

Dar es Salaam. Aliyekuwa mfanyabiashara maarufu jijini Tanga, Yanga Omari ‘maarufu rais wa Tanga’ amefariki dunia jana mchana (Desemba 27, 2024) akiwa anapatiwa matibabu katika

Read More
Michezo

Yanga Omari ‘rais wa Tanga’ afia kifungoni

December 28, 2024 Admin

Dar es Salaam. Aliyekuwa mfanyabiashara maarufu jijini Tanga, Yanga Omari ‘maarufu rais wa Tanga’ amefariki dunia jana mchana (Desemba 27, 2024) akiwa anapatiwa matibabu katika

Read More
Michezo

Ngoma aivusha Simba 2024 kileleni

December 28, 2024 Admin

BAO pekee lililowekwa kimiani dakika 41 na kiungo Fabrice Ngoma limeiwezesha Simba kujihakikisha kuuaga mwaka 2024 na kujiandaa kuingia 2025 ikiwa kileleni mwa msimamo wa

Read More
Habari

Mwanamke auawa na wanaodaiwa kuwa ‘michepuko’ yake

December 28, 2024 Admin

Bukoba. Jeshi la Polisi linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya Editha Andason, mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa, uliopo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera,

Read More
Michezo

Matampi ampa tuzo Camara | Mwanaspoti

December 28, 2024 Admin

WAKATI Ligi Kuu Bara ikiwa ndio kwanza imeanza duru la pili na ikienda kusimama hadi Januari 20 mwakani, aliyekuwa kipa wa Coastal Union, Ley Matampi

Read More
Michezo

Yanga Omari afariki dunia | Mwananchi

December 28, 2024 Admin

Dar es Salaam. Aliyekuwa mfanyabiashara maarufu jijini Tanga, Yanga Omari ‘maarufu rais wa Tanga’ amefariki dunia jana mchana (Desemba 27, 2024) akiwa anapatiwa matibabu katika

Read More
Habari

Chalamila atoa siku 14 za kukomesha foleni ya malori Ubungo

December 28, 2024 Admin

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa siku 14 kwa Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini Tanzania (Tarura) na

Read More
Habari

Ajali yaua sita Mbinga, wamo walimu wanne wa shule moja

December 28, 2024 Admin

Nyasa. Watu sita wakiwamo walimu wanne wa Shule ya Msingi Lumalu wilayani Nyasa Mkoa wa Ruvuma, wamefariki dunia kutokana na ajali ya gari lililogonga gema

Read More
Habari

Serikali kujenga barabara ya njia sita Mbagala hadi Kongowe

December 28, 2024 Admin

Dar es Salaam. Huenda changamoto ya ajali na foleni inayowakabili watumiaji wa barabara ya Kilwa, eneo la Mbagala Mto Mzinga, ikawa historia baada ya Serikali

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 22 23 24 … 2,317 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.