
Mfumo dume unavyowatesa wanawake walima mpunga Mbarali
Mbeya. Wanawake wa Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya, wanajishughulisha na kilimo cha mpunga wanakabiliwa na changamoto kubwa ya mfumo dume unaozua migogoro inayowasababishia vipigo na ukatili mwingine wa kijinsia. Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Ofisa Ustawi wa Jamii wa Kata ya Igurusi, wilayani humo, Casmiri Pius, asilimia 75 hadi 80 ya wanawake wanajishughulisha na…