
Azam FC yasajili beki kutoka Mali
AZAM FC imefikia makubaliano na Akademi ya Yeleen Olympique ya Mali kwa ajili ya kumnunua mchezaji wa kimataifa wa nchi hiyo, Yoro Mamadou Diaby. Mlinzi huyo wa kati ambaye alikuwa kwa mkopo kwenye Klabu ya Stade Malien de Bamako, atajiunga rasmi na Azam FC kuanzia msimu ujao wa 2024/25. Akiwa Stade Malien de Bamako, Yoro…