
Dk. Ndumbaro amualika Waziri wa michezo Ivory Coast kushuhudia ‘Derby’
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Damas Ndumbaro, amemualika Waziri wa Michezo wa Ivory Coast Adjé Silas kushuhudia mechi ya Simba na Yanga ‘Derby ya Kariakoo’. Mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili unatarajiwa kupigwa kesho Aprili 20, 2024 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Ndumbaro…