
DAWASA NA BONDE LA WAMI WAUNDA VIKUNDI RAFIKI VYA MAZINGIRA KULINDA MTO RUVU. – MWANAHARAKATI MZALENDO
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam DAWASA kwa kushirikiana na Bonde la Wami Ruvu wameunda na kuanzisha vikundi rafiki vya Mazingira vitakavyosaidia kulinda Mto Ruvu ikiwa ni sehemu ya ulinzi na utunzaji wa vyanzo vya maji. Akizungumza wakati wa Mkutano wa kutambulisha vikundi hivyo kwa ngazi ya Mkoa na…