
Ogolla, CDF wa kwanza kufa madarakani Kenya
Nairobi. Jenerali Francis Omondi Ogolla amekuwa mkuu wa kwanza wa vikosi vya ulinzi nchini Kenya kufariki dunia akiwa madarakani, baada ya ajali ya helikopta iliyoua wanajeshi 10 wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF). Rais wa Kenya, William Ruto usiku wa Alhamisi Aprili 19, 2024 alithibitisha vifo hivyo, akitangaza siku tatu za maombolezo na bendera…