
Fahamu njia sahihi ya kuacha pombe kiafya
Dar es Salaam. Ni uchungu kwa ndugu pale mpendwa wao anapoangukia kwenye unywaji wa pombe wa kupindukia. Mara nyingi hufanya jitihada za kusaidia na wengine kuhangaika kwa waganga wa kienyeji kutafuta dawa ya kukabiliana na hali hiyo. Wachungaji hufanya maombi huku wengine wakiwekewa dawa za kutapika ili waachane na ulevi. Hata hivyo, mara nyingi tunaambiwa…