
Pembe: Simba wasipofunga mlango, zile 5 zinarudi
MSANII wa vichekesho nchini, Yusuph Kaimu ‘Pembe’ amesema pamoja na matumaini waliyonayo mashabiki wa Yanga kushinda, lakini mastaa wanapaswa kuiheshimu Simba kwani mechi ya watani siyo kujihakikishia pointi tatu, japo akaonya: “Simba wasipofunga mlango vizuri zile tano zinarudi.”. Kauli ya msanii huyo inakuja ikiwa imebaki siku moja kushuhuhudia mchezo wa watani wa jadi kati ya…