
Wananchi wafunguka mauaji ya mwanafunzi wakati akizwa
Morogoro. Maziko ya mwanafunzi wa Chuo cha Mtakatifu Joseph aliyeuawa juzi kwa kuchomwa kisu na mtu asiyejulikana akiwa kwenye eneo la hosteli za chuo hicho, yamefanyika katika makaburi ya Kola, Morogoro. Wakizungumza Leo Alhamisi Aprili 18, 2024 baada ya maziko hayo, baadhi ya waombolezaji wameliomba Jeshi la Polisi mkoani Morogoro kuhakikisha linamtia mbaroni muuaji. Hajrat…