Kipa wa Simba SC mama’ke ni Yanga
MAMA mzazi wa kipa wa Simba, Hussein Abel, Mwaija Husein Fadhir amekiri kuwa yeye ni Yanga damu lakini hilo halihusiani na kazin ya mwanae. Amesema mchezo wa dabi anaiombea sana ushindi chama lake Yanga, lakini iwapo Wekundu watampanga mwanae golini anaomba mchezo uwe sare. Yanga na Simba zinachuana Jumamosi kwenye mechi ya Ligi Kuu, huku…