
Mafua: Hadi Diamond aliwahi kukodi cheni kwangu
BURUDANI yake kubwa siku zote kwake imekuwa kupanda juu ya ulingo kama msaidizi wa bondia na ikishindikana kwa bondia wa ndani basi usishangae kumuona akiwa kwenye kona ya bondia mpinzani hata akiwa anatokea nje ya mipaka ya Tanzania. Yaani yale masuala ya uzalendo ambayo serikali kupitia kwa Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Damas…