Moscow. Shirika la Ujasusi la Russia (FSB) limedai kumkamata raia wa nchi hiyo akidaiwa kukubaliana na vikosi vya Jeshi la Ukraine kufanya jaribio la mauaji
Year: 2024

Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kushtukiza usiku wa kuamkia leo Jumamosi tarehe 28, Disemba 2024 yenye lengo la kukagua maendeleo ya

NA BALTAZAR MASHAKA, MISUNGWI JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza limeendesha ukaguzi wa magari ya abiria mkakati wa kudhibiti ajali na uvunjaji wa sheria za
NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA KAMPUNI ya Meli Tanzania (TASHICO) imefafanua tukio la kuzama kwa meli ya MV Serengeti katika Bandari ya Mwanza Kusini,Ziwa Victoria, baadaa

Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wameendelea kuhakikisha jamii yao inanufaika na uwepo wao kwani leo tena wametoa msaada kwa jamii. Meridianbet leo

Dodoma. Kutokana na baa la njaa katika miaka ya 1974 hadi 1975, Watanzania walilazimika kula ugali uliotokana na mahindi ya njano kutoka Marekani. Ukapewa jina

Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amewataka makandarasi wanaotekeleza miradi ya barabara zikiwemo za mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), kuhakikisha wanakamilisha kazi

Morogoro. Rais Samia Suluhu Hassan ameaihidi kugharamia shughuli zote za mazishi ya aliyekuwa Kadhi wa Mkoa wa Morogoro Sheikh Mussa Bolingo ambaye amefariki jana Ijumaa

KATIKA kuhakikisha mchezo wa bao unachezwa kila kona ya nchi, chama cha mchezo huo Tanzania (Shimbata), kimepanga kuanzisha mashindano ya kila mkoa kuanzia mwakani. Mchezo

Kocha wa Zanzibar Heros, Hemed Suleiman Morocco amemfukuza kambini beki Abdulaziz Makame (Bui) kwenye kambi ya kikosi hicho kinachojiandaa na mashindano ya Mapinduzi Cup yanayotarajiwa