Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December128, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post Habari
Year: 2024

Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kushtukiza usiku wa kuamkia leo Jumamosi tarehe 28, Disemba 2024 yenye lengo la kukagua maendeleo ya

Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, moto uliteketeza maeneo kadhaa ya Hospitali ya Kamal Adwan, ikiwemo maabara na idara ya upasuaji. Jeshi la Israel lilidai

Rais mteule Donald Trump ameirai Mahakama Kuu ya Marekani kusitisha utekelezaji wa sheria inayoweza kuipiga marufuku programu maarufu ya mitandao ya kijamii, TikTok, au kulazimisha iuzwe, akisema anapaswa

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 28, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 9.1 lililotokea kwenye pwani ya magharibi ya Indonesia mnamo Desemba 26, 2004, kilisababisha mfululizo wa mawimbi yaliyofikia urefu wa

HUKO kitaani kwa sasa mashabiki wa Yanga wameanza kunenepa kwa furaha kwa aina ya soka linalopigwa na nyota wa timu hiyo maarufu kama ‘Gusa Achia

Daniel Chapo, ambaye ameahidi kuwa “rais wa wote” baada ya kuapishwa katikati ya Januari, alielezea masikitiko yake juu ya vurugu zilizotokea baada ya Baraza la

KAMA we’ ni shabiki wa Simba na ulikuwa na mawazo huenda kiungo Fabrice Ngoma anaweza kuondoka hivi karibuni, basi sahau kwani nyota huyo kutoka DR

YANGA imerudi kwa mshambuliaji wa Ghana aliyekuwa katika hesabu tangu msimu uliopita, huku Singida Black Stars ikiwa tayari kwenye mazungumzo naye. Mshambuliaji huyo anakumbukwa zaidi