Dar es Salaam. Serikali inaendelea na uchunguzi katika kesi ya kutakatisha Sh8 milioni zilizotokana na kununua eneo lenye ukubwa wa ekari 100 katika Kijiji cha
Year: 2024

Mwanza. Meli ya Mv Serengeti imepinduka na kuzama upande moja majini kwenye Bandari ya Mwanza Kusini, ikiwa imefungwa katika gati. Taarifa iliyotolewa na Kitengo cha

Rais wa Russia, Vladimir Putin amesema anaamini Mungu yuko upande wa taifa hilo katika mzozo unaoendelea kati yake na Ukraine inayoongozwa na Rais Volodymyr Zelenskyy.

Dar es Salaam. Watanzania wanaoishi nje ya nchi (diaspora) wamesisitiza haja ya kuwa na uraia pacha ili kuepuka usumbufu, ikiwa ni pamoja na uhalifu wanaofanyiwa

Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema vijiji hivyo vya mashariki vilivyochukuliwa ni Ivanivka katika mkoa wa Donetsk, na Zahryzove katika mkoa wa Kharkiv. Taarifa za shirika

Jeshi la Israel linadaiwa kutelekeza mashambulizi ya anga katika uwanja wa ndege wa Sana’a na Bandari ya Ras Issa, eneo la Hodeidah nchini Yemen, yaliyoua

Unguja. Wakati tukielekea katika uchaguzi Mkuu wa 2025, Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale, Mudrick Ramadhan Soraga amesema sekta ya utalii ndiyo imebeba uchumi

Baada ya rais Steinmeier kulivunja bunge la Ujerumani Bundestag, sasa nchi hiyo ina siku 60 kuandaa uchaguzi wa mapema unaotarajiwa kufanyika Februari 23. Katika hotuba

Unguja. Wakati wananchi wakieleza changamoto wanazopitia kutokana na kukosa huduma ya majisafi na salama, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema itahakikisha inaendelea kufikisha huduma

Ushindi wa mechi nne mfululizo za Ligi Kuu Bara kwa Yanga tangu ianze kufundishwa na Kocha Sead Ramovic, umewafanya mashabiki wa timu hiyo kupata jeuri