Sikitu Mwasubila (31) anadaiwa kujinyonga katika mtaa wa Melinze mjini Njombe Disemba 24, 2024 kisa ugumu wa mazingira ya kazi. Inaelezwa kuwa Mwasubila alikuwa Mtendaji
Year: 2024

Dar es Salaam. Uchaguzi kuwapata viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) unaotarajiwa kufanyika Januari 21, 2025 unatajwa utaamua anguko au kuimarika zaidi

MSHAMBULIAJI wa Coastal Union, Maabad Maabad ameziingiza vitani Tabora United na klabu anayoichezea sasa aliyomaliza nayo mkataba, baada ya kila upande kutaka kupata huduma yake,

NA MWANDISHI WETU, IRINGA. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT). *Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC)* amewasisitiza na kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani, Boniface Jacob ‘Boni Yai’ ameshikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa

NYOTA wa Mashujaa Kigoma, Crispin Ngushi, amefunguka jinsi ushindani wa namba aliokumbana nao Yanga ulivyomjenga na kuwa alivyo sasa kwa Wana Mapigo na Mwendo. Ngushi,

Dodoma. Mwalimu wa Kwaya ya Shekina iliyoko chini ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Area D jijini Dodoma, Amani Bale amesimulia jinsi mtoto

KLABU ya Fountain Gate a.k. a FOG imekamilisha usajili wa aliyekuwa winga wa Mtibwa Sugar, Kassim Haruna ‘Tiote’ kwa mkataba wa mwaka mmoja, baada ya

Idadi ya wabunge 192 ya bunge linalodhibitiwa na upinzani, walipiga kura ya kumuondoa Han madarakani. Chama tawala cha People Power kilisusia kupiga kura na kukusanyika

Hii ni baada ya mashambulizi ya anga ya Israel kuupiga uwanja wa ndege wa kimataifa wa Sanaa unaodhibitiwa na waasi na maeneo mengine nchini Yemen. Mashambulizi