Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Year: 2024

  • Home
  • 2024
  • Page 31
Habari

GMGI yaendelea kupanua huduma kwa kujiimarisha Marekani

December 27, 2024 Admin

Golden Matrix Group (GMGI) kupitia Expanse Studios, imefanikiwa kufungua rasmi huduma zake kwenye soko la Marekani. Hatua hii ni sehemu ya mpango wa muda mrefu

Read More
Habari

Rais Samia anawajali watu wenye Mahitaji Maalum: Naibu Waziri Mwanaidi

December 27, 2024 Admin

Na WMJJWM- Zanzibar Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe Mwanaidi Ali Khamis amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa

Read More
Habari

BARRICK NORTH MARA YAPELEKA SHANGWE YA SIKUKUU KWA VITUO VYA KULEA WATOTO NA JAMII

December 27, 2024 Admin

Katika kuadhimisha sikukuu za mwisho wa mwaka zinazoendelea, Mgodi wa Barrick North Mara, umetoa zawadi kwa makundi mbalimbali yenye mahitaji kwenye jamii katika wilaya za

Read More
Habari

Pata msisimko wa mashindano ya Expanse Slot Meridianbet

December 27, 2024 Admin

  Mashindano ya Expanse Slot yanayofanywa na Meridianbet bado yanaendelea mpaka Desemba 31, 2024. Mashindano haya ni hususani kwa wateja na washiriki na wapenzi wote

Read More
Habari

DIWANI WA CHADEMA ASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA KUMPIGA RISASI MKULIMA

December 27, 2024 Admin

Na WILLIUM PAUL, SAME. ALIYEKUWA Diwani wa kata ya Bendera wilayani Same mkoani Kilimanjaro kupitia chama cha CHADEMA mwaka 2015-2020, Michael Mcharo (52), anashikiliwa na

Read More
Michezo

Hatua kwa hatua pambano la KO ya Mama

December 27, 2024 Admin

Unaweza kusema ilikuwa ni zaidi ya burudani kwa Watanzania katika pambano la Knock Out ya Mama lililoanza usiku wa jana Desemba 26 na kufikia tamati

Read More
Habari

Kwa nini uepuke vyakula vya wanga

December 27, 2024 Admin

Vyakula vya wanga ni rafiki kwa jamii nyingi za Kitanzania zenye maisha ya chini na kati, ni mara chache kuvikosa katika akiba ya chakula majumbani

Read More
Habari

Sababu watoto wachanga kupata manjano

December 27, 2024 Admin

Geita. Manjano ni zao litokanalo na kuvunjwavunjwa kwa seli nyekundu za damu ambazo hutoa zao la mwisho ambalo ni bilrubin inayotengeneza rangi ya njano mwilini.

Read More
Kimataifa

Huko Gaza, Krismasi bila mti – Masuala ya Ulimwenguni

December 27, 2024 Admin

Katika eneo la Al-Mawasi, magharibi mwa Khan Younis, Tony Al-Masri, anayejulikana kwa jina la Mjomba Tony, ameketi na mkewe, Amal Aboud, na jirani, Hossam Al-Khalili

Read More
Habari

Waziri Gwajima atoa pole kifo cha Graison, ataka ulinzi kwa watoto

December 27, 2024 Admin

Dodoma. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima ametoa pole kwa wazazi wa mtoto Graison Kenyenye aliyeuawa na watu

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 30 31 32 … 2,317 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.