KOCHA wa Yanga, Sead Ramovic na nahodha msaidizi wa timu hiyo, Dickson Job ni kama wametofautiana juu ya kasi na mwenendo wa timu hiyo iliyoshinda
Year: 2024

UTAMU wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) unaendelea leo kwa mechi tano za kufungia mwaka, huku macho na masikio ya mashabiki yataelekezwa kwenye Uwanja wa

KIWANGO cha JKT Tanzania katika kujilinda kinaweza kuwa mtihani mwingine wakati leo itakapokuwa mgeni wa Azam FC inayonolewa na kocha Rachid Taoussi ambaye alipata nafasi

KAMA wewe ni mcheza au mchezeshaji mchezo wa dubwi (Slot) mtaani na unafanya kinyume cha sheria, jiandae tu kwa sasa, kwani Bodi ya Michezo ya

Kwa wagonjwa wa kisukari, kutumia chakula kama dawa ni njia mojawapo ya kudhibiti kisukari na kupunguza madhara ya ugonjwa huu. Mlo sahihi unaoweza kudhibiti viwango

KATIKA Ligi Kuu Bara, upepo umegeuka. Simba na Yanga na nyota wa kigeni wamepindua meza kama utani na kuifanya ligi iliyopo raundi ya kwanza ya

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December 27, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post

Ndege ya Azerbaijan Airlines aina ya Embraer 190 ilikuwa ikisafiri kutoka mji mkuu wa Azerbaijan, Baku, kwenda Grozny, mji ulioko Kaskazini mwa Caucasus nchini Urusi,

Ili kuingia mwaka mpya, kwa mwajiriwa umebakisha mshahara wa mwezi wa 12 na kama ni mfanyabiashara umebakiza faida ya mwezi wa 12.

Imezoeleka kwa watu hasa wasafiri kutumia tafsida wanapotaka kwenda haja kubwa au ndogo. Maneno maarufu ni ‘kukata gogo’ kwa haja kubwa huku wanaoenda haja ndogo