Ndege nyingine yapata ajali Canada, chanzo chatajwa

Canada. Ndege ya Shirika la Canada Express imepata ajali wakati ikitua katika uwanja wa Kimataifa wa Halifax Stanfield uliopo Nova Scotia nchini Canada. Ajali ya ndege hiyo namba DHC-8-402, iliyokuwa ikitokea Uwanja wa St. John’s, Newfoundland kwenda Uwanja wa Halifax Stanfield nchini humo ilitokea usiku wa kuamkia Jumapili Desemba 29, 2024. Kwa mujibu wa Mamlaka…

Read More

NAIBU WAZIRI UMMY AMEITAKA HALMASHAURI YA SAME KUTENGA BAJETI YA KUKABILIANA NA MAAFA YANAPOTOKEA.

NA WILLIUM PAUL, SAME. NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga ameitaka halmashauri ya wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro kutenga bajeti kwa ajili ya kukabiliana na maafa yanapotokea pamoja na kuyatambua maeneo yote hatarishi. Naibu Waziri Ummy alitoa kauli hiyo jana wakati akikabidhi msaada wa vyakula mahindi tani 3.2,…

Read More

Russia, Ukraine zabadilishana wafungwa wa vita

Russia. Ukraine imewaachia wanajeshi 150 wa Russia iliyokuwa imewakamata kama wafungwa wa vita (POW) katika mapigano yanayoendelea kati ya mataifa hayo. Wakati Ukraine ikifanya hivyo, Russia nayo imewaachia wanajeshi 200 wa Ukraine waliokuwa wamekwama nchini humo tangu Russia itangaze kuanza operesheni yake ya kijeshi nchini Ukraine mwezi Februari 2022. Mabadilishano hayo ya wanajeshi 95 ambao…

Read More

Mahakama Korea Kusini yatoa hati Rais Yoon akamatwe

Seoul. Mahakama mjini Seoul nchini Korea Kusini imetoa hati ya kukamatwa kwa aliyekuwa Rais wa taifa hilo, Yoon Suk Yeol ambaye aling’oka madarakani Desemba 3, 2024. Rais Yoon aling’oka madarakani siku chache baada ya kutangaza amri ya taifa hilo kuongozwa chini ya utawala wa Sheria ya Kijeshi (Martial Law) uamuzi ambao ulipingwa vikali na wananchi…

Read More