
Polisi wamsaka dereva wa Super Feo anayedaiwa kusababisha ajali
Songea. Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamsaka dereva wa kampuni ya mabasi ya Superfeo, Zacharia Mbunda, kwa tuhuma za kusababisha ajali iliyotokea leo alfajiri na kujeruhi abiria wanne. Majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tunduru kwa matibabu, hali zao zinaendelea vizuri. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Marko Chilya, akizungumza na Mwananchi…