Benki ya Stanbic Tanzania yaahidi kuendelea kusaidia maendeleo ya sekta ya nishati nchini

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Stanbic Tanzania, Bw. Manzi Rwegasira (kushoto), akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Bw. Abdulmajid Nsekela (kulia), wakati wa Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika ‘Mission 300’  uliomalizika hivi karibuni katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa Mtendaji…

Read More