'Kila siku bila usitishaji mapigano italeta maafa zaidi' — Global Issues

Kamishna Jenerali Philippe Lazzarini alisisitiza kwamba hakuna sehemu na hakuna mtu katika Gaza ambaye amekuwa salama tangu vita vilipoanza Oktoba 2023. “Mwaka unapoanza, tulipata taarifa za shambulio jingine kwenye Al Mawasi na makumi ya watu kuuawa na kujeruhiwa,” alisema. alisemaakiita hii “ukumbusho mwingine kwamba hakuna eneo la kibinadamu sembuse 'eneo salama'”. Alionya kwamba “kila siku…

Read More

Bondia aliyefariki ulingoni azikwa Dar

Mazishi ya aliyekuwa bondia wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania, marehemu Hassan Mgaya, yamefanyika leo Alhamisi Januari 2, 2025 kwenye makaburi ya Jeti Lumo jijini Dar es Salaam. Mgaya alifariki Desemba 29, 2024 katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam kufuatia kupigwa kwa TKO na mpinzani wake Paulo Elias katika pambano lililofanyika usiku wa Desemba…

Read More

Msiba

Mazishi ya aliyekuwa bondia wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania, marehemu Hassan Mgaya, yamefanyika leo Alhamisi Januari 2, 2025 kwenye makaburi ya Jeti Lumo jijini Dar es Salaam.

Read More

TRA KUSHIRIKIANA NA BAKWATA KUTOA ELIMU YA KODI

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kushirikiana na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kutoa Elimu ya Kodi ili kuhamasisha Wananchi kulipa kodi kwa hiari. Hayo yamebainishwa wakati wa mazungumzo baina ya Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Juma Mwenda alipomtembelea na kufanya mazungumzo na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dr. Sheikh Abubakar Ali…

Read More