
Simba yatanguliza mguu mmoja robo fainali
BAO pekee lililofungwa na kiungo mshambuliaji, Jean Charles Ahoua limeipa Simba ushindi wa kwanza ugenini msimu huu katika mechi za Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuichapa CS Sfaxien ya Tunisia na kutanguliza mguu mmoja kufuzu robo fainali. Ushindi huo wa kihistoria kwa Simba katika ardhi ya Afrika Kaskazini ulipatikana usiku huu kwenye Uwanja wa…