Sababu zilizowatoa gerezani Sanga na wenzake – 2

Njombe. Jana tulikuletea tuhuma za mauaji zilivyokuwa dhidi ya kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), George Sanga na wenzake wawili, walioshikiliwa mahabusu. Hii ni baada ya kukaa mahabusu siku 1,557 tangu walipokamatwa Septemba 26, 2020 kwa tuhuma za mauaji ya kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Mlelwa hadi walipoachiwa huru na Mahakama…

Read More

Usafiri Moshi bado changamoto | Mwananchi

Moshi. Mamia ya abiria wanaotaka kusafiri kutoka Moshi kwenda maeneo mbalimbali nchini, hususani mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma ambao hawakukata tiketi mapema wanalazimika kusubiri kusafiri hadi Januari 9, mwaka huu kutokana na magari mengi kujaa. Hali hiyo inatokana na wingi wa abiria wanaorudi makwao, baada ya kumalizika kwa sherehe za mwisho wa mwaka….

Read More

KenGold yachafua hali ya hewa! watajwa Miquisone, Lwanga

KWA wanachoendelea kufanya KenGold kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo ni kama ‘kuchafua hali ya hewa’. Hiyo inatokana na majembe inayoyashusha baada ya kutembeza fagio la nyota wanane ilioanza nao msimu huu ambao ni wa kwanza kushiriki Ligi Kuu. Hadi sasa timu hiyo imetangaza kuachana na Poul Materraz, Asanga Stalon, James Msuva, Steven Mganga,…

Read More

Kisiwa cha Wafu Toten, chimbuko jina la Tanga

Tanga. Mwaka 1961 Wilaya ya Tanga ilikuwa Halmashauri ya Mji ambayo ilipandishwa hadhi kuwa manispaa mwaka 1983 na kuwa Halmashauri ya Jiji mwaka 2005 mpaka sasa. Wilaya hiyo ipo kwenye Jiji la Tanga na ndio makao makuu ya Mkoa wa Tanga, ikiwa na jumla ya tarafa nne, kata 27 na mitaa 181, huku jiji hilo …

Read More