Mauaji ya Waalawi nchini Syria, kunyongwa nchini Iran, watetezi wa haki za binadamu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati – Masuala ya Ulimwenguni

Akizungumza mjini Geneva, OHCHR msemaji Liz Throssell alisema kuwa Ofisi inafahamu kuhusu ripoti na video zinazodaiwa kuonyesha mauaji ya wanaume wa Alawite huko Homs na miji mingine ya Syria tangu kupinduliwa kwa utawala wa Assad, ambao ulikuwa na uhusiano wa miongo mingi na Alawism – tawi la Uislamu wa Shia: “Tunafahamu taarifa hizo na ni…

Read More

Wasiobadili umiliki vyombo vya moto wapewa siku 13

Dar es Salaam. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka watu wote waliouziwa vyombo vya moto kufika katika mamlaka hiyo kabla ya Januari 20 mwaka huu ili kubadili umiliki huo. TRA imesema kuanzia Januari 20 mwaka huu, itaanza kutumia mfumo wa kodi za ndani unaotambulika kwa jina la IRAS ambao hautaruhusu aliyeuziwa chombo cha moto kubadili…

Read More

Wasichana wapewa mbinu kupambana na ukatili wa kijinsia

Dar es Salaam. Katika jitihada ya kukomesha vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwamo rushwa ya ngono kwa wanawake wajasiriamali, taasisi inayoshughulika na uwezeshaji wa wasichana ya Her Initiative imekuja na jukwaa mseto la kidigitali la Ongea Hub ili wasichana wajasiriamali waripoti matukio ya ukatili wa kijinsia. Pia, kupitia jukwaa hilo wasichana wajasiriamali wanaunganishwa na mamlaka…

Read More

Samwasa kusambaza maji kwa wakazi wa Kavambughu, Mahuu

Same. Wakazi 5,600 wa vitongoji vya Kavambughu na Mahuu wilayani Same, Kilimanjaro wameanza kupata huduma ya majisafi na salama baada ya Mamlaka ya Maji Same (Samwasa) kutekeleza mradi wa kuendeleza mtandao wa maji kwenye maeneo ya vitongoji. Mradi huo mkubwa wa maji unaohudumia wilaya za Same na Korogwe, Tanga awali ulimfanya Makamu wa Rais, Dk…

Read More

Madaktari wa wanyama 120 waondolewa sifa

Dar es Salaam. Baraza la Veterinari Tanzania (TVA) limewafutia usajili madaktari wa wanyama 120 kwa kushindwa kutimizwa matakwa ya sheria ya baraza hilo. Uamuzi wa kuwaondolea sifa wataalamu hao umefikiwa na baraza hilo katika kikao chake kilichoketi Desemba 23, 2024. Taarifa iliyotolewa Desemba 30, 2024 na Baraza la Vetenari, inaeleza kuwa, kwa mamlaka iliyopatiwa kwa…

Read More

Njia ya ndege yasitisha ujenzi mnara wa mawasiliano Uru, wananchi waja juu

Moshi. Wananchi wa Kata ya Uru Shimbwe, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia kusitishwa kwa  ujenzi wa mnara wa mawasiliano uliokuwa unajengwa, hali inayowafanya kuendelea kuishi katika mazingira magumu ya kukosa mawasiliano ya simu katika kipindi hiki cha sayansi na teknolojia. Changamoto ya mawasiliano katika kata hiyo  inadaiwa kudumu kwa zaidi ya miaka 10, hali…

Read More