DKT. NCHEMBA AMUAGA BALOZI WA JAPAN NCHINI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb)(kulia), akiagana na Balozi wa Japan nchini Tanzania aliyemaliza muda wake, Mhe.Yasushi Misawa, baada ya kumaliza mazungumzo yao katika Ofisi za Hazina (Treasury Square), jijini Dodoma, ambapo Mhe. Dkt. Nchemba alimhakikishia Balozi huyo kuwa Tanzania na Japan zitaendelea kuimarisha uhusiano wake wa kiuchumi na kijamii kwa faida…

Read More

TIMU 120 KUSHIRIKI KOMBE LA VUNJABEI

NA DENIS MLOWE IRINGA JUMLA ya timu 120 zinatarajiwa kushiriki mashindano ya soka yanayojulikana kwa jina la Vunjabei Cup 2025 yatakayozinduliwa rasmi Januari 11 mwaka huu katika viwanja tofauti. Akizungumza na wanahabari, Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Vunjabei Fadhil Ngajilo alisema kuwa awali yalifahamika kama Ngajilo Cup, sasa yameboreshwa kwa kiwango kikubwa, ambapo zawadi…

Read More

DKT NCHEMBA AWAALIKA WAWEKEZAJI KUTOKA JAPAN

Na Benny Mwaipaja, Dodoma Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ametoa wito kwa Kampuni za Japan kuwekeza nchini Tanzania ili kutumia fursa zilizopo katika sekta mbalimbali za uzalishaji kwa faida ya pande zote mbili. Dkt. Nchemba ametoa rai hiyo Jijini Dodoma wakati akiagana na Balozi wa Japan nchini Tanzania aliyemaliza muda wake,…

Read More

Ujenzi daraja lililovunjika Same wafikia asilimia 95

Moshi. Ujenzi wa Daraja la Mpirani lililovunjika na kusababisha kukatika kwa mawasiliano ya barabara katika Barabara Kuu ya Same-Mkomazi, Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro umefikia asilimia 95. Daraja hilo ambalo lipo Kata ya Maore lilivunjika Januari 2, 2025 mwaka huu baada ya nguzo zilizokuwa zimelishikilia kuathiriwa na mafuriko kufuatia mvua zilizonyesha Desemba 20, 2024. Kuvunjika…

Read More

CUF yamtimua Mbunge wake, mwenyewe asema…

Dar es Salaam. Chama cha Wananchi (CUF), kimemfuta uanachama mbunge wake wa Mtambile visiwani Pemba, Seif Salim Seif kwa kile kilichodaiwa amekisaliti chama hicho na kukiunga mkono chama tawala cha CCM. Hatua ya Seif kufukuzwa uanachama, inamuondolea uhalali wa kuwa mbunge, hivyo wananchi wa Mtambile watakosa mwakilishi hadi hapo Uchaguzi Mkuu utakapofanyika baadaye Oktoba 2025….

Read More

ACT wapendekeza mbinu kuepuka mikopo umiza

Dar es Salaam. Chama cha ACT Wazalendo kimesema Serikali inapaswa kuanzisha mifumo rahisi ya mikopo kwa wananchi ili kuwarahisishia kuepuka mikopo isiyo rasmi maarufu kama mikopo umiza au kausha damu inayowaletea changamoto. Chama hicho kimesema aina hiyo ya mikopo inayotolewa na taasisi zisizo rasmi, imekuwa changamoto kwa wananchi, hasa wale wa kipato cha chini. Hata…

Read More

Lissu, Mbowe wawaweka njia panda wagombea mabaraza, kamati kuu

Dar es Salaam. Ushindani unaoendelea katika nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), unatajwa kuwapa wakati mgumu wagombea wa nafasi ngazi za mabaraza ya chama hicho. Ugumu huo, unatokana na kile kinachotajwa kuwa, inamlazimu mgombea kujipambanua upande anaouunga mkono kati ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe wanaogombea uenyekiti wa chama hicho. Mbowe…

Read More