Sio udhibiti ili kukomesha maudhui ya mtandaoni yenye chuki, anasisitiza mkuu wa haki za Umoja wa Mataifa – Global Issues

“Kuruhusu matamshi ya chuki na maudhui hatari mtandaoni kuna madhara ya ulimwengu. Kudhibiti maudhui haya sio udhibiti,” Volker Türk aliandika kwenye X. Katika chapisho refu la LinkedIn kwenye mada hiyo hiyo, Bw. Türk alidumisha kwamba kuweka lebo kwenye juhudi za kuunda nafasi salama mtandaoni kama “udhibiti…puuza ukweli kwamba nafasi isiyodhibitiwa inamaanisha. baadhi ya watu hunyamazishwa…

Read More

DKT. NCHEMBA AMUAGA BALOZI WA MAREKANI NCHINI

Na Benny Mwaipaja, Dodoma Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa Tanzania ina thamini mchango mkubwa wa Taifa la Marekani katika maendeleo ya nchi kupitia miradi na program mbalimbali zinazofadhiliwa na nchi hiyo, ukiwemo Mkataba wa Msaada wa dola za Marekani bilioni 1.14, uliosainiwa hivi karibuni kwa ajili kuendeleza sekta mbalimbali….

Read More

TUSHIRIKIANE KUJENGA MIRERANI – HANS NKYA

Na Mwandishi wetu, Mirerani MWENYEKITI mpya wa Mamlaka ya Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Hans Nkya amewataka wajumbe wa mamlaka hiyo kumpa ushirikiano wa kutosha ili waweze kuyapatia majawabu matatizo ya jamii inayowazunguka. Nkya ameyasema hayo wakati akitoa hotuba yake ya mwanzo ya shukurani mara baada ya wajumbe wote 35 wa mamlaka…

Read More

Inzaghi aipeleka Zanzibar Heroes fainali Mapinduzi Cup 

BAO la Ali Khatib ‘Inzaghi’ limetosha kuipeleka Zanzibar Heroes fainali ya Kombea Mapinduzi 2025 baada ya timu hiyo kuibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Kenya. Mchezo huo uliochezwa leo Januari 10, 2025 kwenye Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba, Inzaghi alifunga bao hilo dakika ya 90+4 kwa kichwa akiunganisha kona iliyopigwa na nahodha, Feisal Salum…

Read More

SERIKALI YATOA BILIONI 14.4 MRADI WA ENGARUKA

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo Januari 10,2025 katika tarafa ya Mtowambu wilayani Monduli. Na.Mwandishi Wetu WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo, amesema Serikali imetoa shilingi bilioni 14.4 kwa ajili ya utelelezaji wa mradi wa magadi soda wa Engaruka na ulipaji fidia kwa…

Read More

Ushirikiano wa Biashara Hutoa Matumaini Dhidi ya Ukataji miti – Masuala ya Ulimwenguni

Misitu katika karibu kila nchi yenye misitu inakabiliwa na vitisho kutokana na moto unaotokana na mabadiliko ya tabianchi na shinikizo la ukataji miti unaochochewa na maslahi ya kiuchumi yanayotumia rasilimali asilia. Credit: Imran Schah/IPS Maoni Imeandikwa na Agus Justino (banten, indonesia) Ijumaa, Januari 10, 2025 Inter Press Service BANTEN, Indonesia, Jan 10 (IPS) – Katika…

Read More

DRC yaifungia Al Jazeera kurusha matangazo nchini humo

Dar es Salaam. Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) imekifungia kituo cha televisheni cha Al Jazeera kutokana kile ilichokisema imerusha mahojiano na kiongozi wa kundi la waasi wa M23, Bertrand Bisimwa. Taarifa iliyochapishwa na shirika la habari la DW, ikimnukuu msemaji wa serikali ya DRC, Patrick Muyaya akieleza kwamba mamlaka zimebatilisha kibali cha…

Read More

Trump ahukumiwa Marekani, hatokwenda gerezani

Washington. Hukumu ya kesi iliyokuwa ikimkabili Rais mteule wa Marekani, Donald Trump imesomwa leo na kumfanya kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kuhukumiwa kwa makosa ya uhalifu. Pamoja na hukumu hiyo kutolewa leo Ijumaa Januari 10, 2025, Trump hatotumikia kifungo chochote wala kulipa faini katika shtaka la matumizi mabaya ya fedha kwa kumhonga mcheza picha…

Read More

600,000 watumia majina feki kuomba vitambulisho Nida

Dar es Salaam. Ikiwa zimepita siku 25 tangu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa kuipa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), siku 60 za kusambaza vitambulisho milioni 1.2 vilivyotengenezwa, mamlaka hiyo imebainisha kukumbana na changamoto ya majina feki. Akizungumza na waandishi wa habari, baada ya ziara fupi ya Naibu Waziri wa Mambo…

Read More