
RUWASA MANYARA WAITAKA JAMII KUTUNZA VYANZO VYA MAJI
Na Mwandishi wetu, Babati MAMLAKA ya maji na usafi wa mazingira vijijini (RUWASA) mkoa wa Manyara, imeitaka jamii ya eneo hilo kutunza vyanzo vya maji ili viweze kuendelea kuhudumia kizazi cha sasa na kizazi kijacho. Meneja wa RUWASA mkoa wa Manyara, mhandisi James Kionaumela ameyasema hayo wakati akizungumzia mikakati ya upatikanaji maji kwa jamii ya…