
Yanga yaiua Al Hilal, matumaini yabakia Kwa Mkapa
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga imefufua matumaini ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya usiku huu kushinda bao 1-0, dhidi ya Al Hilal, katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Cheikha Ould Boidiya huko Nouakchott, Mauritania. Katika mchezo huo wa hatua ya makundi mzunguko wa tano, Yanga ilipata bao…