Marufuku ya Al Jazeera lazima iondolewe, wataalam wa haki wahimiza Mamlaka ya Palestina – Masuala ya Ulimwenguni

Haya yanajiri wiki moja baada ya mahakama ya Ramallah katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kuamuru kufungwa kwa tovuti kadhaa za Al Jazeera. Kamati ya mawaziri ya Mamlaka ya Palestina hapo awali ilihalalisha kufungwa kwa ofisi ya kampuni ya vyombo vya habari katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, ikiishutumu kwa kutangaza habari za “uchochezi”, “habari…

Read More

'Mazungumzo ya Uaminifu Kuhusu Elimu ya Wasichana' Yanaanza kwa Kufichua Ukiukaji Mbaya Zaidi' — Masuala ya Ulimwenguni

Mwimbaji wa Pop na mwanaharakati wa elimu Shehzad Roy anacheza chess na Malala Yousafzai. Kwa hisani: Shehzad Roy na Zofeen Ebrahim (karachi, pakistan) Jumatatu, Januari 13, 2025 Inter Press Service KARACHI, Pakistani, Jan 13 (IPS) – “Alikuwa katika ubora wake mzuri zaidi, akizungumza bila woga na kwa ujasiri kuhusu unyanyasaji wa wanawake na kundi la…

Read More

Waziri Ulega aitaka Tanroads kuweka taa za barabarani Dakawa

Morogoro. Waziri wa Ujenzi, Abdalah Ulega, amemuagiza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Dk Charles Msonde, kuhakikisha eneo la Dakawa, lililopo wilayani Mvomero, linawekwa taa za barabarani na kujengwa maeneo ya maegesho ya magari ili kuwezesha wananchi kufanya shughuli zao wakati wote. Ulega ametoa agizo hilo leo Jumatatu, Januari 13, 2025 wakati wa ziara…

Read More

Wananchi Mbinga waomba zahanati yao ifunguliwe haraka

Mbinga. Wananchi wa Kijiji cha Mundeki, Kata ya Muyangayanga, Wilaya ya Mbinga, wameiomba Serikali kuharakisha kupeleka wataalamu wa afya na vifaa tiba katika zahanati yao ili huduma za afya zianze kutolewa. Wananchi hao wamesema ukosefu wa huduma hiyo umewalazimu kusafiri umbali mrefu, jambo linalosababisha changamoto kubwa, hasa kwa wagonjwa na wanawake wajawazito. Wakizungumza na Mwananchi…

Read More

Wajumbe Bazecha waanza kupiga kura, wagombea walivyojinadi

Dar es Salaam. Wajumbe wa Baraza la Wazee la Chadema (Bazecha) wameanza kupiga kura kuwachagua viongozi mbalimbali watakaoongoza baraza hilo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Mkutano Mkuu wa uchaguzi unafanyika leo, Jumatatu, Januari 13, 2025, katika ukumbi wa Makao Makuu ya Chadema, Mikocheni, jijini Dar es Salaam. Kabla ya wajumbe kuanza kupiga kura, saa…

Read More

TLS yataka wadau kusaka mwafaka wa kitaifa

Dar es Salaam. Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimetaka wadau wa kisiasa, viongozi wa dini, taasisi za umma na wataalamu kukutana pamoja kujadiliana masuala yanayoitatiza nchi ili kuufanya mwaka 2025 kuwa wa mwafaka wa kitaifa. Chama hicho kimeangazia mambo manne yanayopaswa kujadiliwa ili kupata mwafaka wa kitaifa kuwa pamoja na kuheshimiwa kwa misingi ya…

Read More

TBS YATOA ELIMU KWA WAJASIRIAMALI KWENYE MAONESHO YA 11 YA BIASHARA ZANZIBAR

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Shirika la Viwango Zanzibar (ZBS) wameendelea kutoa elimu kwa wajasiriamali juu ya umuhimu wa kuwa na alama ya ubora katika maonesho ya 11 ya biashara yanayoendelea visiwani Zanzibar. Wametoa elimu kwa kuwatembelea kila banda wajasiriamali hao walioshiriki kwenye Maonesho hayo ambayo yameanza Januari 1 na yanatarajiwa kufungwa…

Read More