Mkuu wa haki za Umoja wa Mataifa katika mkutano wa kihistoria nchini Syria na mamlaka ya muda huko Damascus – Global Issues

Akizungumza kutoka Damascus baada ya kukutana na kiongozi wa mamlaka ya muda, Ahmad Al-Sharaa, Bw. Türk alisema kuwa “amehakikishiwa … juu ya umuhimu wa kuheshimu haki za binadamu kwa Wasyria wote na sehemu zote tofauti za jamii ya Syria”. Kiongozi mkuu wa Syria – ambaye aliongoza tukio la kupinduliwa kwa umeme kwa Bashar Al Assad…

Read More

Uchaguzi Bawacha: Mstari wa ushindi Lissu, Mbowe

Dar es Salaam. Uchaguzi wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) unaofanyika kesho Alhamisi Januari 16, 2025 unatajwa kuchora ramani ya matokeo katika uchaguzi wa nafasi ya uenyekiti wa chama hicho taifa. Mtazamo huo wa wanazuoni wa sayansi ya siasa, unatokana na kile wanachoeleza matokeo ya uchaguzi wa vijana (Bavicha) na…

Read More

ACT-Wazalendo yapuliza kipenga Uchaguzi Mkuu 2025

Dar es Salaam. Chama cha ACT-Wazalendo kimepuliza kipenga kwa wanachama wake wenye sifa za kugombea uongozi katika Uchaguzi Mkuu 2025 kuanza kutangaza nia. Nafasi wanazotakiwa kujitokeza kuwania katika uchaguzi mkuu baadaye mwaka huu ni za udiwani, udiwani viti maalumu, ubunge, ubunge viti maalumu na urais. ACT-Wazalendo kinakuwa chama cha kwanza kati ya vyama 19 vya…

Read More

Dk Biteko: Maandalizi mkutano wa M300 yafikia asilimia 95

Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema maandalizi kuelekea Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati yamefikia asilimia 95, huku taasisi za kimataifa nazo zikiomba kushiriki. Maandalizi hayo kwa mujibu wa Dk Biteko, yanahusisha ukarabati wa Kituo cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), maeneo mengine yatakayotumika…

Read More

Guterres anaangazia 'tumaini kupitia hatua' kwa 2025, huku kukiwa na msukosuko unaoendelea – Masuala ya Ulimwenguni

Katika hotuba yake ya mwaka mpya wa jadi kwa Mkutano Mkuu akiweka vipaumbele vyake muhimu kwa shirika la kimataifa, mkuu wa Umoja wa Mataifa alikubali “msukosuko wa dunia yetu” na akakubali kwamba “inaeleweka kupata kuzidiwa”. Hata hivyo, Bw. Guterres aliwataka wajumbe “kamwe usipoteze mtazamo wa maendeleo na uwezo”, akiangazia usitishaji vita nchini Lebanon ambao “unashikilia…

Read More

Wafanyabiashara walivyoguswa na mageuzi ya Bandari ya Dar

Dar es Salaam. Viongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT), imeridhika na uwekezaji uliofanyika katika Bandari ya Dar es Salaam, ikisema umeleta ufanisi katika uendeshaji wa bandari hiyo katika uboreshaji wa utoaji wa huduma. Kwa nyakati tofauti Serikali iliingia mikataba na Kampuni za DP World na Kampuni ya Adani Ports ili kuboresha na kuleta ufanisi…

Read More

Sababu kifo cha DC Mahawe

Arusha. Maambukizi kwenye mapafu yaliyosababisha matatizo ya kupumua ndicho kinachotajwa kuwa chanzo cha kifo cha aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, Ester Mahawe. Ester amefariki dunia jana Januari 14, 2025 katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) Moshi, mkoani Kilimanjaro alikokuwa akipatiwa matibabu ya msaada wa hewa ya Oksijeni kwa ajili…

Read More