Israeli na Palestina Zapata Makubaliano ya Kusimamisha Vita Baada ya Miezi 15 ya Mizozo – Masuala ya Ulimwenguni

UNICEF ikisaidia katika juhudi za kuweka majira ya baridi kali huko Deir Al Balah kwa kusambaza nguo za majira ya baridi kwa familia katika makazi ya watu waliohama. Credit: UNICEF/Mohammed Nateel na Oritro Karim (umoja wa mataifa) Alhamisi, Januari 16, 2025 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Jan 16 (IPS) – Makubaliano ya kusitisha mapigano…

Read More

Polisi waimarisha ulinzi uchaguzi Bawacha usiku

Hatimaye Askari wa Jeshi la Polisi wamewasili katika Ukumbi wa Ubungo Plaza, kuimarisha ulinzi. Kuwasili kwa askari hao, kunakuja muda mfupi baada ya kushuhudiwa vurugu katika mkutano mkuu wa uchaguzi wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha). Vurugu hizo zilikuwa kati ya wafuasi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na…

Read More

Vurugu zazuka nje ya ukumbi wa uchaguzi Bawacha

Dar es Salaam. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, ugomvi wa ngumi umezuka nje ya Ukumbi wa Ubungo Plaza unapofanyika mkutano wa uchaguzi wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha). Ugomvi huo ulikuwa kati ya wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu dhidi ya wafuasi wa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe….

Read More

Wananchi Ubungo walilia barabara | Mwananchi

Dar es Salaam. Baadhi ya wananchi wa Mpigi Magohe, Wilaya ya Ubungo wameikumbusha Serikali kutekeleza ahadi ya ujenzi wa barabara ya Mbezi Victoria kwa kiwango cha lami iliyotoa ili kuwaondolea adha ya usafiri inayowasumbua. Ahadi ya ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 9.55 yenye kero hususan nyakati za mvua ilitolewa Mei 2024 na…

Read More

Maandalizi ya mkutano mkuu CCM yapamba moto

Dodoma. Wakati maandalizi ya mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), yakipamba moto jijini Dodoma yakiwamo maeneo ya katikati ya jiji kupambwa na bendera za chama hicho, nyumba nyingi za kulala wageni zimejaa kwa siku tatu mfululizo. Mkutano huo utakaofanyika Januari 18 na 19, 2025 katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Center, utafanya…

Read More

Misogyny ya Kutojali na Hatari ya Zuckerberg na Musk – Masuala ya Ulimwenguni

Mark Zuckerberg Maoni na Jan Lundius (Stockholm, sweden) Alhamisi, Januari 16, 2025 Inter Press Service STOCKHOLM, Uswidi, Jan 16 (IPS) – Kwa kutarajia kuapishwa kwa Donald Trump eneo lake lililojaa dhahabu la Florida, Mar-a-Lago, ni kitovu cha michezo ya kisiasa, ambapo wafanyabiashara wenye ushawishi mkubwa kama Mark Zuckerberg na Elon Musk wanajiweka katika nafasi nzuri….

Read More

Kelele za rushwa zaibua wadau

Dar es Salaam. Kukithiri kwa vitendo vya rushwa nchini kunatajwa kuwa tatizo mtambuka linalogusa malezi, kukosa hofu ya Mungu, na ukosefu wa masilahi kazini. Hayo yanaelezwa kutokana na video iliyosambaa mitandaoni, ikiwaonyesha askari polisi wawili wa usalama barabarani wakichukua vitu vinavyodaiwa kuwa fedha kutoka kwa madereva na makondakta wa daladala jijini Dar es Salaam. Akizungumza…

Read More

Wanafunzi jamii ya wafugaji wapata misaada ya shule

Arusha. Zaidi ya wanafunzi 150 wa jamii ya wafugaji wa Kimasai waishio Kijiji cha Kimokouwa, wilayani Longido, Mkoa wa Arusha wamepatiwa misaada ya vifaa mbalimbali vya shule. Misaada hiyo imetolewa hivi karibuni na Shirika la ‘Smile Youth and women Support Organisation’ la jijini Arusha, kwa lengo ni kusaidia wanafunzi hao wa shule za msingi na…

Read More