HabariRAIS SAMIA AONGOZA BARAZA MAWAZIRI IKULU CHAMWINO JIJINI DODOMA Admin7 months ago01 mins 16 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma leo tarehe 16 Januari, 2025. Post navigation Previous: CHEZA SLOTI YA LUCKY BETTING SHOP MAMILIONI YANAKUSUBIRI!Next: Mwakilishi maalumu wa EU ukanda wa Maziwa Makuu azuru Tanzania