
Ukumbi wa moto uchaguzi Bawacha
Dar es Salaam. Haikupita kila nusu saa bila kushuhudiwa ugomvi wa wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) katika Ukumbi wa Ubungo Plaza, Dar es Salaam. Ugomvi huo kwa sehemu kubwa unasababishwa na hali ya kutoaminiana kati ya wafuasi wa wagombea wa nafasi ya uenyekiti wa baraza hilo. Wagombea…