
WADAU WASHAURI BAJETI YENYE MTAZAMO WA KIJINSIA KUSAIDIA WATOTO NJITI
Na Deogratius Temba, Dar es salaam Mtandao wa Haki ya afya ya uzazi umeshauri Serikali kutenga bajeti yenye mtazamo wa Kijinsia katika sekta ya afya ili kupunguza mzigo wa gharama za matibabu na utunzaji wa watoto njiti wanapozaliwa. Hayo yamesemwa na wanachama wa Mtandao wa haki ya Afya ya uzazi (SRHR) wakati wa mjadala wa…