Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Day: January 19, 2025

  • Home
  • 2025
  • January
  • 19
Kimataifa

Guterres anakaribisha kuanza kwa usitishaji vita huko Gaza huku Umoja wa Mataifa ukiimarisha usambazaji wa chakula – Masuala ya Ulimwenguni

January 19, 2025 Admin

“Tuko tayari kuunga mkono utekelezaji huu na kuongeza utoaji wa misaada endelevu ya kibinadamu kwa Wapalestina wengi ambao wanaendelea kuteseka,” mkuu wa UN. Alisema katika

Read More
Habari

MUFTI MKUU TANZANIA KUJA NA ZIARA YA KUIMARISHA UONGOZI MKOA WA DODOMA

January 19, 2025 Admin

  Mufti Mkuu Sheikh Abubakar Zubeir amesema Baraza limepanga kufanya ziara rasmi mkoani Dodoma, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kutembelea mikoa yote 26 nchini.

Read More
Habari

Chadema yapitisha 23 kuwania  ujumbe Kamati Kuu

January 19, 2025 Admin

Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewapitisha makada wake 23 kuwania ujumbe wa Kamati Kuu. Hatua ya kupitishwa kwa wagombea hao, imekuja

Read More
Habari Michezo

Dk Nchimbi atajwa turufu kwa CCM Uchaguzi Mkuu

January 19, 2025 Admin

Dar es Salaam. Hatua ya mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan kumteua Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Emmanuel Nchimbi

Read More
Habari

Sababu CCM kuazimia Samia, Dk Mwinyi kugombea urais 2025

January 19, 2025 Admin

Dodoma/Dar. Kama kuna mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwenye ndoto ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, mwaka huu, basi asahau, kwani wajumbe

Read More
Habari

CCM yatangaza muundo mpya wa wajumbe, uteuzi wa wagombea

January 19, 2025 Admin

Dodoma/Dar es Salaam. Hatua ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kufanya mabadiliko ya Katiba yao huenda ikazua maumivu kwa wagombea ubunge na udiwani. Mabadiliko hayo yamefanywa

Read More
Habari

Wenyeviti 21 wa Chadema watangaza kumuunga mkono Lissu

January 19, 2025 Admin

Dar es Salaam. Wenyeviti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka mikoa 21, wametoa tamko rasmi la kumuunga mkono Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu

Read More
Habari Michezo

Dk Nchimbi mgombea mwenza urais CCM, hii hapa historia yake

January 19, 2025 Admin

Dodoma. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea urais, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Emmanuel Nchimbi kuwa

Read More
Michezo

Fadlu awamwagia sifa mastaa wa Simba

January 19, 2025 Admin

KOCHA wa Simba, Fadlu Davids ameonyesha kufurahishwa na viwango vya wachezaji wa timu hiyo na kuwamwagia sifa kutokana na kuonyesha ukomavu na kupata matokeo ya

Read More
Habari

Mtoto aliyeibwa Januari 15 apatikana kwenye mashamba ya miwa

January 19, 2025 Admin

Kilosa. Mtoto Shamimu Nasibu, mwenye umri wa miaka miwili ambaye aliripotiwa kupotea alipokuwa akicheza na mwenzake karibu na nyumbani kwao, hatimaye amepatikana akiwa hai kwenye

Read More

Posts pagination

1 2 … 7 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.