
WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA NA TPSF ZAFANYA KIKAO CHA MAJADILIANO
Serikali kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara imekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Januari 22,2025 katika ukumbi wa Mikutano wa FCC jijini Dar es Salaam. Mazungumzo hayo yameongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt.Hashil Abdallah ambapo amesema kuwa mazungumzo hayo ni maelekezo ya…