Kuongezeka kwa misaada ya Gaza, sasisho la El Fasher, msaada kwa Somalia, haki nchini Belarus – Masuala ya Ulimwenguni

Ofisi ya uratibu wa misaada OCHA ilisema Umoja wa Mataifa na washirika wetu wanatuma vifaa kwa makazi maalum ya dharura na vituo vya usambazaji katika Ukanda huu. “Tunasambaza vifurushi vya chakula na unga na tunafanya kazi ya kufungua tena mikate,” alisema Naibu Msemaji wa Umoja wa Mataifa Farhan Haq. Zaidi ya vifurushi 50,000 vya chakula…

Read More

TRA: Tutakusanya kodi bila migogoro na walipaji

Dar es Salaam. Kamishna Mkuu wa Mamalaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda amesema wataendelea kukusanya kodi kwa manufaa ya Taifa bila kuingia migogoro na walipakodi. Katika kufanikisha hilo amesema kama mamlaka wanaendelea kuimarisha mazingira ya ulipaji kodi kwa kujenga uhusiano na walipakodi nchini pamoja na kuboresha mazingira ya mfumo wa ulipaji kodi. Mwenda ameyasema…

Read More

Waziri Mkuu atoa maagizo kwa TMA uboreshaji vituo

Dodoma. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) iweke kipaumbele cha kuboresha mtandao wa uangazi wa taarifa za hali ya hewa katika maeneo madogo madogo ambayo bado hayajafikiwa na Mradi wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani wa “Systematic Observation Financing Facility (SOFF) Agizo lingine alilolitoa kwa mamlaka hiyo ni pamoja…

Read More

Simbachawene atoa mwongozo Tasaf inavyofanya kazi

Singida. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, amesema moja ya majukumu makuu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) ni kuwawezesha wananchi kiuchumi, hususan wale wasiojiweza. Amesisitiza kuwa mfuko huo unalenga kutatua changamoto zinazohusiana moja kwa moja na maisha ya wananchi, kama vile kuboresha miundombinu…

Read More

MKONGO WA TAIFA KUINUA TEKNOLOJIA NA BIASHARA TANZANIA NA NCHI JIRANI

Serikali kupitia Wizara ya Mawasiliano, Teknolojia, na Habari imekamilisha ujenzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano, hatua inayolenga kuboresha mawasiliano ya ndani na kuimarisha uhusiano wa kibiashara na nchi jirani, ikiwemo Kenya. Akizungumza Januari 23, 2025, Waziri wa Mawasiliano, Teknolojia, na Habari, Jerry Silaa, alisema mkongo huo unajumuisha nyaya za mawasiliano zinazounganisha Tanzania na Kenya…

Read More

MRADI WA MAJI KEMONDO TUMAINI JIPYA LA WANABUKOBA

Na Dulla Uwezo Imeelezwa kuwa changamoto zilizokuwepo katika Mradi wa Maji wa Kemondo Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba, sasa huenda zikatatuliwa kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuletwa fedha nyingi  katika mradi huo, na kwamba mkandarasi kwa sasa anafanya kazi kwa juhudi kubwa. Hayo yamebainika katika Ziara ya Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Mathew Kundo aliyefika…

Read More

Mawakili walivyorushiana mpira, Dk Slaa kuendelea kusota mahabusu

Dar es Salaam. Wakati mwanasiasa maarufu nchini, Dk Wilbrod Slaa akiendelea kusota mahabusu kutokana na kukabiliwa na kesi ya jinai, mawakili wanaomtetea na mawakili wa Serikali wamerushiana mpira kila upande ukiutuhumu kuwa chanzo cha mwanasiasa huyo kupelekwa mahabusu na kuchelewesha kuamua hatima ya dhamana yake. Mawakili hao wamerushiana mpira huo, leo Alhamisi, Januari 23, 2025,…

Read More